The Bible Software
bible.softwareIsaiahIsaiah 21 › Isaiah 21:3

Isaiah 21:3

Katika hili mwili wangu umeteswa na maumivu, 2 maumivu makali ya ghafula yamenishika, 2 kama yale ya mwanamke mwenye utungu wa kuzaa. 2 Nimeduwazwa na lile ninalolisikia, 2 nimeshangazwa na lile ninaloliona. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

Therefore are my loins filled with pain: pangs have taken hold upon me, as the pangs of a woman that travaileth: I was bowed down at the hearing of it; I was dismayed at the seeing of it.

In Context

2Nimeonyeshwa maono ya kutisha: 2 Msaliti anasaliti, mteka nyara anateka nyara. 1 Elamu, shambulia! Umedi, izunguke kwa jeshi! 2 Nitakomesha huzuni zote alizosababisha. 1

4Moyo wangu unababaika, 2 woga unanifanya nitetemeke, 2 gizagiza la jioni nililolitamani sana, 2 limekuwa hofu kuu kwangu. 1

Read all of Isaiah 21

Cross References

Deuteronomy 28:67Wakati wa asubuhi utasema hivi, “Laiti ingekuwa jioni!” Jioni utasema, “Laiti ingekuwa asubuhi,” kwa sababu ya hofu ile itakayojaza moyo wako na vitu vile macho yako yatakavyoviona.

Isaiah 13:8Hofu itawakamata, 2 uchungu na maumivu makali yatawashika, 1 watagaagaa kama mwanamke aliye na utungu wa kuzaa. 1 Watatazamana kwa hofu kila mtu na mwenzake, 2 nyuso zao zikiwaka kama moto. 1

Isaiah 16:9Hivyo ninalia kama Yazeri aliavyo, 2 kwa ajili ya mizabibu ya Sibma. 1 Ee Heshboni, ee Eleale, 2 ninakulowesha kwa machozi! 1 Kelele za furaha kwa ajili ya tunda lako lililoiva 2 na kwa ajili ya mavuno zimekomeshwa. 1

Isaiah 26:17Kama mwanamke mwenye mimba aliyekaribia kuzaa 2 anavyogaagaa na kulia kwa ajili ya maumivu yake, 2 ndivyo tulivyokuwa mbele zako, Ee Bwana. 1

Jeremiah 49:22Tazama! Tai atapaa juu angani na kuruka chini kwa ghafula, 2 akitandaza mabawa yake juu ya Bosra. 1 Katika siku hiyo, mioyo ya mashujaa wa Edomu 2 itakuwa kama moyo wa mwanamke katika utungu wa kuzaa. 1 Ujumbe Kuhusu Dameski

Daniel 5:5Ghafula vidole vya mkono wa mwanadamu vilitokea na kuandika juu ya ukuta, karibu na kinara cha taa ndani ya jumba la mfalme. Mfalme akatazama kitanga kilivyokuwa kikiandika.

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Isaiah 21:3

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Isaiah 21:2Isaiah 21Isaiah 21:4 →