Proverbs 13:15
Ufahamu mzuri hupata upendeleo, 2 bali njia ya asiye mwaminifu ni ngumu. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Good understanding giveth favour: but the way of transgressors is hard.
In Context
14Mafundisho ya mwenye busara ni chemchemi ya uzima, 2 ili kumwepusha mtu na mitego ya mauti. 1
16Kila mwenye busara hutenda kwa maarifa, 2 bali mpumbavu hudhihirisha upumbavu wake. 1
Cross References
1 Samuel 18:14Katika kila kitu alichofanya, Daudi alipata mafanikio makubwa, kwa sababu Bwana alikuwa pamoja naye.
Psalms 111:10Kumcha Bwana ndicho chanzo cha hekima, 2 wote wanaozifuata amri zake wana busara. 2 Sifa zake zadumu milele.
Proverbs 4:19Lakini njia ya waovu ni kama giza nene; 2 hawajui kinachowafanya wajikwae. 1
Proverbs 15:10Adhabu kali humngoja yeye aachaye njia; 2 yeye achukiaye maonyo atakufa. 1
Luke 2:52Naye Yesu akakua katika hekima na kimo, akimpendeza Mungu na wanadamu.
Romans 6:21Lakini mlipata faida gani kwa mambo hayo ambayo sasa mnayaonea aibu? Mwisho wa mambo hayo ni mauti.