Isaiah 21:7
Anapoona magari ya vita 2 pamoja na kundi la farasi, 1 wapanda punda au wapanda ngamia, 2 na awe macho, awe macho kikamilifu.”
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
6Hili ndilo Bwana analoniambia: 1 “Nenda, weka mlinzi, 2 na atoe taarifa ya kile anachokiona. 1
Cross References
Isaiah 37:24Kupitia kwa wajumbe wako 2 umelundika matukano juu ya Bwana. 1 Nawe umesema, 2 ‘Kwa magari yangu mengi ya vita, 1 nimepanda juu ya vilele vya milima, 2 vilele vya juu sana katika Lebanoni. 1 Nami nimeiangusha mierezi yake mirefu, 2 misunobari yake iliyo bora sana. 1 Nimefikia sehemu zake zilizoinuka juu sana, 2 misitu yake iliyo mizuri sana. 1