The Bible Software
bible.softwareIsaiahIsaiah 22 › Isaiah 22:2

Isaiah 22:2

Ewe mji uliojaa ghasia, 2 ewe mji wa makelele na sherehe! 1 Watu wenu waliokufa hawakuuawa kwa upanga, 2 wala hawakufa vitani. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

Thou that art full of stirs, a tumultuous city, a joyous city: thy slain men are not slain with the sword, nor dead in battle.

In Context

1Neno kuhusu Bonde la Maono: 1 Nini kinachokutaabisha sasa, 2 kwamba ninyi nyote mmepanda juu ya mapaa? 1

3Viongozi wako wote wamekimbia pamoja, 2 wamekamatwa bila kutumia upinde. 1 Ninyi nyote mliokamatwa mlichukuliwa wafungwa pamoja, 2 mlikimbia wakati adui alipokuwa bado mbali. 1

Read all of Isaiah 22

Cross References

Isaiah 23:7Je, huu ndio mji wenu uliojaa sherehe, 2 mji wa zamani, zamani kabisa 1 ambao miguu yake imeuchukua 2 kufanya makao nchi za mbali sana? 1

Isaiah 37:33“Kwa hiyo hili ndilo asemalo Bwana kuhusu mfalme wa Ashuru: 1 “Hataingia katika mji huu 2 wala hatapiga mshale hapa. 1 Hatakuja mbele yake na ngao 2 wala kupanga majeshi kuuzingira. 1

Jeremiah 14:18Kama nikienda mashambani, 2 ninaona wale waliouawa kwa upanga; 1 kama nikienda mjini, 2 ninaona maangamizi ya njaa. 1 Nabii na kuhani kwa pamoja 2 wamekwenda katika nchi wasiyoijua.’ ” 1

Jeremiah 52:6Ilipowadia siku ya tisa ya mwezi wa nne, njaa ikazidi kuwa kali sana ndani ya mji, hadi hapakuwa na chakula kwa ajili ya watu.

Lamentations 4:9Wale waliouawa kwa upanga ni bora 2 kuliko wale wanaokufa njaa; 1 wanateseka kwa njaa, wanatokomea 2 kwa kukosa chakula kutoka shambani. 1

Amos 6:3Mnaiweka mbali siku iliyo mbaya 2 na kuleta karibu utawala wa kuogofya. 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Isaiah 22:2

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Isaiah 22:1Isaiah 22Isaiah 22:3 →