The Bible Software
bible.softwareIsaiahIsaiah 22 › Isaiah 22:13

Isaiah 22:13

Lakini tazama, kuna furaha na sherehe, 2 kuchinja ngʼombe na kuchinja kondoo, 2 kula nyama na kunywa mvinyo! 1 Mnasema, “Tuleni na kunywa, 2 kwa kuwa kesho tutakufa!”

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

And behold joy and gladness, slaying oxen, and killing sheep, eating flesh, and drinking wine: let us eat and drink; for to morrow we shall die.

In Context

12Bwana, Bwana Mwenye Nguvu Zote, 2 aliwaita siku ile 1 ili kulia na kuomboleza, 2 kungʼoa nywele zenu na kuvaa nguo ya gunia. 1

14Bwana Mwenye Nguvu Zote amelifunua hili nikiwa ninasikia: Bwana, Bwana Mwenye Nguvu Zote, asema: “Mpaka siku ya kufa kwenu, dhambi hii haitafanyiwa upatanisho.”

Read all of Isaiah 22

Cross References

Isaiah 5:12Wana vinubi na zeze kwenye karamu zao, 2 matari, filimbi na mvinyo, 1 lakini hawayajali matendo ya Bwana, 2 wala hawana heshima kwa ajili ya kazi ya mikono yake. 1

Isaiah 21:4Moyo wangu unababaika, 2 woga unanifanya nitetemeke, 2 gizagiza la jioni nililolitamani sana, 2 limekuwa hofu kuu kwangu. 1

Isaiah 56:12Kila mmoja hulia, “Njooni, tupate mvinyo! 2 Tunywe kileo sana! 1 Kesho itakuwa kama leo, 2 au hata bora zaidi.”

Luke 17:26“Kama ilivyokuwa siku za Noa, ndivyo itakavyokuwa katika siku za Mwana wa Adamu.

James 5:5Mmeishi duniani kwa anasa na kwa starehe, mmejinenepesha tayari kwa siku ya kuchinjwa.

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Isaiah 22:13

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Isaiah 22:12Isaiah 22Isaiah 22:14 →