The Bible Software
bible.software › Yeremia › Yeremia 4 › Yeremia 4:8

Yeremia 4:8

Hivyo vaeni nguo za magunia, 2 ombolezeni na kulia kwa huzuni, 1 kwa kuwa hasira kali ya Bwana 2 haijaondolewa kwetu. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

For this gird you with sackcloth, lament and howl: for the fierce anger of the LORD is not turned back from us.

In Context

7Simba ametoka nje ya pango lake, 2 mharabu wa mataifa amejipanga. 1 Ametoka mahali pake 2 ili aangamize nchi yenu. 1 Miji yenu itakuwa magofu 2 pasipo mtu wa kuishi humo. 1

9“Katika siku ile,” asema Bwana 2 “mfalme na maafisa watakata tamaa, 1 makuhani watafadhaika, 2 na manabii watashangazwa mno.”

Read all of Yeremia 4

Cross References

Psalms 78:49Aliwafungulia hasira yake kali, 2 ghadhabu yake, hasira na uadui, 2 na kundi la malaika wa kuharibu. 1

Isaiah 9:12Waashuru kutoka upande wa mashariki 2 na Wafilisti kutoka upande wa magharibi 2 wameila Israeli kwa kinywa kilichopanuliwa. 1 Hata kwa haya yote, hasira yake haijageukia mbali, 2 mkono wake bado umeinuliwa juu. 1

Isaiah 9:21Manase atamla Efraimu, 2 naye Efraimu atamla Manase; 2 nao pamoja watakuwa kinyume na Yuda. 1 Hata kwa haya yote, hasira yake haijageukia mbali, 2 mkono wake bado umeinuliwa juu.

Isaiah 13:6Ombolezeni, kwa maana siku ya Bwana i karibu, 2 itakuja kama uharibifu kutoka kwa Mwenyezi. + 13:6 Mwenyezi hapa ina maana ya Shaddai kwa Kiebrania. 1

Isaiah 22:12Bwana, Bwana Mwenye Nguvu Zote, 2 aliwaita siku ile 1 ili kulia na kuomboleza, 2 kungʼoa nywele zenu na kuvaa nguo ya gunia. 1

Jeremiah 6:26Enyi watu wangu, vaeni magunia 2 mjivingirishe kwenye majivu, 1 ombolezeni kwa kilio cha uchungu 2 kama amliliaye mwana pekee, 1 kwa maana ghafula 2 mharabu atatujia. 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Yeremia 4:8

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Yeremia 4:7Yeremia 4Yeremia 4:9 →