The Bible Software
bible.softwareIsaiahIsaiah 22 › Isaiah 22:5

Isaiah 22:5

Bwana, Bwana Mwenye Nguvu Zote, anayo siku 2 ya ghasia, ya kukanyaga, na ya kuogofya 2 katika Bonde la Maono, 1 siku ya kuangusha kuta 2 na ya kupiga kelele mpaka milimani. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

For it is a day of trouble, and of treading down, and of perplexity by the Lord GOD of hosts in the valley of vision, breaking down the walls, and of crying to the mountains.

In Context

4Kwa hiyo nilisema, “Geukia mbali nami, 2 niache nilie kwa uchungu. 1 Usijaribu kunifariji 2 juu ya maangamizi ya watu wangu.” 1

6Elamu analichukua podo, 2 pamoja na waendesha magari ya vita na farasi. 2 Kiri anaifungua ngao. 1

Read all of Isaiah 22

Cross References

2 Kings 25:10Jeshi lote la Wakaldayo, chini ya jemadari wa askari walinzi wa mfalme, walivunja kuta zilizoizunguka Yerusalemu.

Isaiah 5:5Sasa nitawaambia lile nitakalolitendea 2 shamba langu la mizabibu: 1 Nitaondoa uzio wake, 2 nalo litaharibiwa, 1 nitabomoa ukuta wake, 2 nalo litakanyagwa. 1

Isaiah 22:1Neno kuhusu Bonde la Maono: 1 Nini kinachokutaabisha sasa, 2 kwamba ninyi nyote mmepanda juu ya mapaa? 1

Isaiah 37:3Wakamwambia, “Hili ndilo asemalo Hezekia: Siku hii ni siku ya dhiki, ya kukaripiwa na ya aibu, kama wakati watoto wanapofikia karibu kuzaliwa na kumbe hakuna nguvu ya kuwazaa.

Lamentations 1:5Adui zake wamekuwa mabwana zake, 2 watesi wake wana raha. 1 Bwana amemletea huzuni 2 kwa sababu ya dhambi zake nyingi. 1 Watoto wake wamekwenda uhamishoni, 2 mateka mbele ya adui. 1

Lamentations 2:8Bwana alikusudia kuangusha 2 ukuta uliomzunguka Binti Sayuni. 1 Ameinyoosha kamba ya kupimia 2 na hakuuzuia mkono wake usiangamize. 1 Alifanya maboma na kuta ziomboleze, 2 vyote vikaharibika pamoja. 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Isaiah 22:5

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Isaiah 22:4Isaiah 22Isaiah 22:6 →