Isaya 23:10
Ee Binti Tarshishi, 2 pita katika nchi yako kama vile Mto Naili 2 kwa kuwa huna tena bandari. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Pass through thy land as a river, O daughter of Tarshish: there is no more strength.
In Context
Cross References
1 Samuel 28:20Papo hapo Sauli akaanguka chini, akajinyoosha, akiwa amejawa na hofu kwa ajili ya maneno ya Samweli. Nguvu zake zikamwishia kwa maana alikuwa hajala chochote mchana ule wote na usiku.
Psalms 18:32Mungu ndiye anivikaye nguvu 2 na kufanya njia yangu kuwa kamilifu. 1
Lamentations 1:6Fahari yote imeondoka 2 kutoka kwa Binti Sayuni. 1 Wakuu wake wako kama ayala 2 ambaye hapati malisho, 1 katika udhaifu wamekimbia 2 mbele ya anayewasaka. 1
Romans 5:6Kwa maana hata tulipokuwa dhaifu, wakati ulipowadia, Kristo alikufa kwa ajili yetu sisi wenye dhambi.