Yeremia 47:3
kwa sauti ya kwato za farasi waendao mbio, 2 kwa sauti ya magari ya adui 2 na mngurumo wa magurudumu yake. 1 Baba hawatageuka kuwasaidia watoto wao, 2 mikono yao italegea. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Deuteronomy 28:54Hata yule mtu muungwana sana na makini miongoni mwako hatakuwa na huruma kwa ndugu yake mwenyewe au kwa mke ampendaye au watoto wake waliosalia,
Job 39:19“Je, wewe humpa farasi nguvu 2 au kuivika shingo yake manyoya marefu? 1
Jeremiah 8:16Mkoromo wa farasi za adui 2 umesikika kuanzia Dani, 1 kwa mlio wa madume yao ya farasi, 2 nchi yote inatetemeka. 1 Wamekuja kuangamiza nchi na vyote vilivyomo, 2 mji na wote waishio ndani yake.” 1
Lamentations 4:3Hata mbweha hutoa matiti yao 2 kunyonyesha watoto wao, 1 lakini watu wangu wamekuwa wasio na huruma 2 kama mbuni jangwani. 1
Nahum 2:4Magari ya vita yanafanya msukosuko barabarani, 2 yakikimbia nyuma na mbele uwanjani. 1 Yanaonekana kama mienge ya moto; 2 yanakwenda kasi kama umeme. 1