Joel 3:19
Lakini Misri itakuwa ukiwa, 2 Edomu itakuwa jangwa tupu, 1 kwa sababu ya jeuri waliofanya kwa watu wa Yuda, 2 ambao katika nchi yao 2 walimwaga damu isiyo na hatia. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
20Yuda itakaliwa na watu milele 2 na Yerusalemu itadumu vizazi vyote. 1
Cross References
Isaiah 11:15Bwana atakausha 2 ghuba ya bahari ya Misri; 1 kwa upepo mkavu ataupeleka mkono wake 2 juu ya Mto Frati. 1 Ataugawanya katika vijito saba 2 ili watu waweze kuuvuka wakiwa wamevaa viatu. 1
Isaiah 34:1Njooni karibu, enyi mataifa, nanyi msikilize; 2 sikilizeni kwa makini, 2 enyi kabila za watu! 1 Dunia na isikie, navyo vyote vilivyo ndani yake, 2 ulimwengu na vyote vitokavyo ndani yake! 1
Jeremiah 49:17“Edomu atakuwa kitu cha kuogofya; 2 wote wapitao karibu 1 watashangaa na kuzomea 2 kwa sababu ya majeraha yake yote. 1
Lamentations 4:21Shangilia na ufurahi, ee Binti Edomu, 2 wewe unayeishi nchi ya Usi. 1 Lakini kwako pia kikombe kitapitishwa, 2 Utalewa na kuvuliwa nguo ubaki uchi. 1
Ezekiel 35:1Neno la Bwana likanijia kusema:
Obadiah 1:1Maono ya Obadia. Hili ndilo asemalo Bwana Mwenyezi kuhusu Edomu: 1 Tumesikia ujumbe kutoka kwa Bwana: 2 Mjumbe alitumwa kwa mataifa kusema, 1 “Inukeni, twendeni tukapigane vita dhidi yake.” 1