Isaiah 25:3
Kwa hiyo mataifa yenye nguvu yatakuheshimu, 2 miji ya mataifa katili itakuheshimu wewe. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Therefore shall the strong people glorify thee, the city of the terrible nations shall fear thee.
In Context
Cross References
Psalms 66:3Mwambieni Mungu, “Jinsi gani yalivyo ya kutisha matendo yako! 2 Uwezo wako ni mkuu mno kiasi kwamba 2 adui wananyenyekea mbele zako. 1
Isaiah 13:11Nitauadhibu ulimwengu kwa ajili ya uovu wake, 2 waovu kwa ajili ya dhambi zao. 1 Nitakomesha majivuno ya wenye kiburi, 2 na nitakishusha kiburi cha watu wakatili. 1
Isaiah 60:10“Wageni watazijenga upya kuta zako, 2 na wafalme wao watakutumikia. 1 Ingawa katika hasira nilikupiga, 2 lakini katika upendeleo wangu 2 nitakuonyesha huruma. 1
Ezekiel 38:23Nami hivyo ndivyo nitakavyoonyesha ukuu wangu na utakatifu wangu, nami nitajijulisha mbele ya macho ya mataifa mengi. Ndipo watakapojua kuwa Mimi ndimi Bwana.’
Zechariah 14:9Bwana atakuwa mfalme juu ya dunia yote. Katika siku hiyo atakuwepo Bwana mmoja na jina lake litakuwa jina pekee.
Revelation 11:13Saa iyo hiyo, kukatokea tetemeko kubwa la nchi na sehemu ya kumi ya mji ikaanguka. Watu elfu saba wakauawa katika tetemeko hilo, nao walionusurika wakaogopa sana, wakamtukuza Mungu wa mbinguni.