Isaiah 26:2
Fungua malango ili taifa lenye haki lipate kuingia, 2 taifa lile lidumishalo imani. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Open ye the gates, that the righteous nation which keepeth the truth may enter in.
In Context
3Utamlinda katika amani kamilifu 2 yeye ambaye moyo wake ni thabiti 2 kwa sababu anakutumaini wewe. 1
Cross References
Deuteronomy 4:6Zishikeni kwa uangalifu, kwa kuwa hii itaonyesha hekima na ufahamu wenu kwa mataifa, ambayo yatasikia kuhusu amri zote hizi, nao watasema, “Hakika taifa hili kubwa ni watu wenye hekima na ufahamu.”
Psalms 118:19Nifungulie malango ya haki, 2 nami nitaingia na kumshukuru Bwana. 1
Isaiah 54:14Kwa haki utathibitika: 1 Kuonewa kutakuwa mbali nawe; 2 hutaogopa chochote. 1 Hofu itakuwa mbali nawe; 2 haitakukaribia wewe. 1
Isaiah 60:11Malango yako yatakuwa wazi siku zote, 2 kamwe hayatafungwa, mchana wala usiku, 1 ili watu wapate kukuletea utajiri wa mataifa: 2 wafalme wao wakiongoza maandamano ya ushindi. 1
Isaiah 62:2Mataifa wataona haki yako, 2 nao wafalme wote wataona utukufu wako; 1 wewe utaitwa kwa jina jipya 2 lile ambalo kinywa cha Bwana kitatamka. 1
Ezekiel 48:31malango hayo ya mji yatapewa majina ya makabila ya Israeli. Malango hayo matatu ya upande wa kaskazini moja litakuwa lango la Reubeni, lango la Yuda na lango la Lawi.