The Bible Software
bible.software › Isaya › Isaya 26 › Isaya 26:14

Isaya 26:14

Wao sasa wamekufa, wala hawako tena hai, 2 roho za waliokufa hazitarudi tena. 1 Uliwaadhibu na kuwaangamiza, 2 umefuta kumbukumbu lao lote. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

They are dead, they shall not live; they are deceased, they shall not rise: therefore hast thou visited and destroyed them, and made all their memory to perish.

In Context

13Ee Bwana, Mungu wetu, mabwana wengine zaidi ya wewe wametutawala, 2 lakini jina lako pekee ndilo tunaloliheshimu. 1

15Umeliongeza hilo taifa, Ee Bwana, 2 umeliongeza hilo taifa. 1 Umejipatia utukufu kwa ajili yako mwenyewe, 2 umepanua mipaka yote ya nchi. 1

Read all of Isaya 26

Cross References

Exodus 14:30Siku ile Bwana akawaokoa Waisraeli kutoka mikononi mwa Wamisri, nao Waisraeli wakawaona Wamisri wamelala ufuoni mwa bahari wakiwa wamekufa.

Job 7:9Kama vile wingu liondokavyo na kutoweka, 2 vivyo hivyo yeye ashukaye kaburini + 7:9 Kaburini hapa maana yake ni Kuzimu, kwa Kiebrania ni Sheol. harudi tena. 1

Job 24:20Tumbo lililowazaa huwasahau, 2 nao huwa karamu ya mabuu; 1 watu waovu hawakumbukwi tena, 2 lakini huvunjika kama mti. 1

Psalms 106:28Walijifunga nira na Baali wa Peori, 2 wakala dhabihu zilizotolewa kwa miungu isiyo na uhai. 1

Proverbs 10:7Kumbukumbu ya mwenye haki itakuwa baraka, 2 lakini jina la mwovu litaoza. 1

Isaiah 10:3Mtafanya nini siku ya kutoa hesabu, 2 wakati maafa yatakapokuja kutoka mbali? 1 Mtamkimbilia nani awape msaada? 2 Mtaacha wapi mali zenu? 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Isaya 26:14

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Isaya 26:13Isaya 26Isaya 26:15 →