The Bible Software
bible.softwareIsayaIsaya 60 › Isaya 60:11

Isaya 60:11

Malango yako yatakuwa wazi siku zote, 2 kamwe hayatafungwa, mchana wala usiku, 1 ili watu wapate kukuletea utajiri wa mataifa: 2 wafalme wao wakiongoza maandamano ya ushindi. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

Therefore thy gates shall be open continually; they shall not be shut day nor night; that men may bring unto thee the forces of the Gentiles, and that their kings may be brought.

In Context

10“Wageni watazijenga upya kuta zako, 2 na wafalme wao watakutumikia. 1 Ingawa katika hasira nilikupiga, 2 lakini katika upendeleo wangu 2 nitakuonyesha huruma. 1

12Kwa maana taifa au ufalme ule ambao hautakutumikia utaangamia; 2 utaharibiwa kabisa. 1

Read all of Isaya 60

Cross References

Nehemiah 13:19Wakati vivuli vya jioni vilipoangukia juu ya malango ya Yerusalemu kabla ya Sabato, niliamuru milango ifungwe, wala isifunguliwe mpaka Sabato iishe. Nikawaweka baadhi ya watu wangu mwenyewe kwenye malango ili pasiwepo mzigo utakaoingizwa ndani siku ya Sabato.

Isaiah 49:23Wafalme watakuwa baba zenu wa kuwalea, 2 na malkia wao watakuwa mama zenu wa kuwalea. 1 Watasujudu mbele yako nyuso zao zikigusa ardhi; 2 wataramba mavumbi yaliyo miguuni mwako. 1 Ndipo utajua ya kuwa Mimi ndimi Bwana; 2 wale wanaonitumaini mimi hawataaibika.” 1

Isaiah 60:18Jeuri hazitasikika tena katika nchi yako, 2 wala maangamizi au uharibifu ndani ya mipaka yako, 1 lakini utaita kuta zako Wokovu, 2 na malango yako Sifa. 1

Revelation 21:25Malango yake hayatafungwa kamwe, kwa maana hakutakuwa na usiku humo.

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Isaya 60:11

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Isaya 60:10Isaya 60Isaya 60:12 →