The Bible Software
bible.softwareIsaiahIsaiah 27 › Isaiah 27:2

Isaiah 27:2

Katika siku ile: 1 “Imbeni kuhusu shamba la mizabibu lililozaa: 2

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

In that day sing ye unto her, A vineyard of red wine.

In Context

1Katika siku ile, 1 Bwana ataadhibu kwa upanga wake, 2 upanga wake mkali, mkubwa na wenye nguvu, 1 ataadhibu Lewiathani + 27:1 Lewiathani ni mnyama mkubwa wa baharini mwenye magamba anayefanana na joka kubwa, mwenye umbo la kutisha, asiyeweza kuvuliwa. yule nyoka apitaye kwa mwendo laini, 2 Lewiathani yule nyoka mwenye kujipinda; 1 atamuua joka huyo mkubwa sana wa baharini.

3Mimi, Bwana, ninalitunza, 2 nalinyweshea maji mfululizo. 1 Ninalichunga usiku na mchana 2 ili mtu yeyote asije akalidhuru. 1

Read all of Isaiah 27

Cross References

Numbers 21:17Kisha Israeli akaimba wimbo huu: 1 “Bubujika, ee kisima! 2 Imba kuhusu maji, 1

Psalms 80:9Uliandaa shamba kwa ajili yake, 2 mizizi ikawa imara, ukajaza nchi. 1

Jeremiah 2:21Nilikupanda ukiwa mzabibu ulio bora sana, 2 mkamilifu na wa mbegu nzuri. 1 Ilikuwaje basi ukawa kinyume nami, 2 ukaharibika na kuwa mzabibu mwitu? 1

Luke 20:9Akaendelea kuwaambia watu mfano huu: “Mtu mmoja alipanda shamba la mizabibu, akalikodisha kwa wakulima fulani, kisha akasafiri kwa muda mrefu.

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Isaiah 27:2

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Isaiah 27:1Isaiah 27Isaiah 27:3 →