Luke 20:9
Akaendelea kuwaambia watu mfano huu: “Mtu mmoja alipanda shamba la mizabibu, akalikodisha kwa wakulima fulani, kisha akasafiri kwa muda mrefu.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Deuteronomy 16:18Wateue waamuzi na maafisa kwa kila kabila lenu katika kila mji ambao Bwana Mungu wenu anawapa, nao watawaamua watu kwa usawa.
Psalms 80:8Ulileta mzabibu kutoka Misri, 2 ukawafukuza mataifa, ukaupanda. 1
Isaiah 5:1Nitaimba wimbo kwa ajili ya mmoja nimpendaye, 2 kuhusu shamba lake la mizabibu: 1 Mpendwa wangu alikuwa na shamba la mizabibu 2 kwenye kilima chenye rutuba. 1
Matthew 21:33“Sikilizeni mfano mwingine: Kulikuwa na mtu mmoja mwenye shamba ambaye alipanda shamba la mizabibu. Akajenga ukuta kulizunguka, akatengeneza shinikizo ndani yake na akajenga mnara wa ulinzi. Kisha akalikodisha hilo shamba la mizabibu kwa wakulima fulani, naye akaondoka, akasafiri kwenda nchi nyingine.
Mark 12:1Yesu akaanza kusema nao kwa mifano, akawaambia: “Mtu mmoja alipanda shamba la mizabibu. Akajenga ukuta kulizunguka, akachimba shimo ndani yake kwa ajili ya shinikizo la kusindika divai, na akajenga mnara wa ulinzi. Kisha akalikodisha shamba hilo la mizabibu kwa wakulima fulani, kisha akasafiri kwenda nchi nyingine.
John 15:1“Mimi ndimi mzabibu wa kweli na Baba yangu ndiye mkulima.