The Bible Software
bible.softwareIsaiahIsaiah 27 › Isaiah 27:3

Isaiah 27:3

Mimi, Bwana, ninalitunza, 2 nalinyweshea maji mfululizo. 1 Ninalichunga usiku na mchana 2 ili mtu yeyote asije akalidhuru. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

I the LORD do keep it; I will water it every moment: lest any hurt it, I will keep it night and day.

In Context

2Katika siku ile: 1 “Imbeni kuhusu shamba la mizabibu lililozaa: 2

4Mimi sijakasirika. 2 Licha pangekuwepo michongoma na miiba kunikabili! 2 Ningepambana dhidi yake katika vita, 2 ningeliichoma moto yote. 1

Read all of Isaiah 27

Cross References

Genesis 9:9“Sasa mimi ninaweka Agano langu nanyi, pamoja na uzao wenu baada yenu,

1 Samuel 2:9Yeye atailinda miguu ya watakatifu wake, 2 lakini waovu watanyamazishwa kwenye giza. 1 “Si kwa nguvu mtu hushinda; 2

Psalms 46:5Mungu yuko katikati yake, hautaanguka, 2 Mungu atausaidia asubuhi na mapema. 1

Psalms 121:3Hatauacha mguu wako uteleze, 2 yeye akulindaye hatasinzia, 1

Isaiah 35:6Ndipo kilema atarukaruka kama kulungu, 2 nao ulimi wa aliye bubu utapaza sauti kwa shangwe. 1 Maji yatatiririka kwa kasi katika nyika, 2 na vijito katika jangwa. 1

Isaiah 44:3Kwa maana nitamimina maji juu ya nchi yenye kiu, 2 na vijito vya maji juu ya ardhi iliyokauka; 1 nitamimina Roho wangu juu ya watoto wako, 2 nayo baraka yangu juu ya wazao wako. 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Isaiah 27:3

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Isaiah 27:2Isaiah 27Isaiah 27:4 →