bible.software › Isaiah › Isaiah 29 › Isaiah 29:12
Isaiah 29:12
Au kama mkimpa mtu yeyote kitabu hiki asiyeweza kusoma na kumwambia, “Tafadhali kisome,” atajibu, “Mimi sijui kusoma.”
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And the book is delivered to him that is not learned, saying, Read this, I pray thee: and he saith, I am not learned.
In Context
11Kwa maana kwenu ninyi, maono haya yote si kitu ila maneno yaliyotiwa lakiri katika kitabu. Kama mkimpa mtu yeyote awezaye kusoma kitabu hiki, nanyi mkamwambia, “Tafadhali kisome,” yeye atajibu, “Mimi siwezi, kwa kuwa kimetiwa lakiri.”
13Bwana anasema: 1 “Watu hawa hunikaribia kwa vinywa vyao 2 na kuniheshimu kwa midomo yao, 2 lakini mioyo yao iko mbali nami. 1 Ibada yao kwangu inatokana na maagizo 2 waliyofundishwa na wanadamu. 1
Read all of Isaiah 29
Cross References
Isaiah 29:18Katika siku ile viziwi watasikia maneno ya kitabu, 2 na katika utusitusi na giza 2 macho ya kipofu yataona. 1
Hosea 4:6watu wangu wanaangamizwa 2 kwa kukosa maarifa, 1 “Kwa kuwa wewe umeyakataa maarifa, 2 mimi nami nitakukataa wewe 2 usiwe kuhani kwangu mimi; 1 kwa kuwa umeacha kuijali sheria ya Mungu wako 2 mimi nami sitawajali watoto wako. 1
This Verse In Other Editions
Study Isaiah 29:12