The Bible Software
bible.softwareIsaiahIsaiah 29 › Isaiah 29:13

Isaiah 29:13

Bwana anasema: 1 “Watu hawa hunikaribia kwa vinywa vyao 2 na kuniheshimu kwa midomo yao, 2 lakini mioyo yao iko mbali nami. 1 Ibada yao kwangu inatokana na maagizo 2 waliyofundishwa na wanadamu. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

Wherefore the Lord said, Forasmuch as this people draw near me with their mouth, and with their lips do honour me, but have removed their heart far from me, and their fear toward me is taught by the precept of men:

In Context

12Au kama mkimpa mtu yeyote kitabu hiki asiyeweza kusoma na kumwambia, “Tafadhali kisome,” atajibu, “Mimi sijui kusoma.”

14Kwa hiyo mara nyingine tena nitawashangaza watu hawa, 2 kwa ajabu juu ya ajabu. 1 Hekima ya wenye hekima itapotea, 2 nayo akili ya wenye akili itatoweka.” 1

Read all of Isaiah 29

Cross References

2 Chronicles 29:1Hezekia alikuwa na umri wa miaka ishirini na mitano alipoanza kutawala, naye akatawala huko Yerusalemu kwa miaka ishirini na tisa. Mama yake aliitwa Abiya binti Zekaria.

Proverbs 30:6Usiongeze kwenye maneno yake, 2 ama atakukemea na kukuthibitisha kuwa mwongo. 1

Isaiah 30:11Acheni njia hii, 2 ondokeni katika mapito haya, 1 nanyi acheni kutukabili pamoja 2 na yeye Aliye Mtakatifu wa Israeli!”

Isaiah 58:2Kwa maana kila siku hunitafuta, 2 wanaonekana kutaka kujua njia zangu, 1 kana kwamba walikuwa taifa linalotenda lililo sawa, 2 na ambalo halijaziacha amri za Mungu wake. 1 Hutaka kwangu maamuzi ya haki, 2 nao hutamani Mungu awakaribie. 1

Jeremiah 5:2Ingawa wanasema, ‘Kwa hakika kama Bwana aishivyo,’ 2 bado wanaapa kwa uongo.” 1

Jeremiah 42:2Yeremia nabii na kumwambia, “Tafadhali sikia maombi yetu na umwombe Bwana Mungu wako kwa ajili ya watu hawa wote waliosalia. Kwa kuwa kama unavyoona sasa, ingawa wakati fulani tulikuwa wengi, sasa tumesalia wachache tu.

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Isaiah 29:13

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Isaiah 29:12Isaiah 29Isaiah 29:14 →