Isaiah 29:18
Katika siku ile viziwi watasikia maneno ya kitabu, 2 na katika utusitusi na giza 2 macho ya kipofu yataona. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Deuteronomy 29:4Lakini mpaka leo Bwana hajawapa akili ya kuelewa au macho yanayoona au masikio yanayosikia.
Proverbs 20:12Masikio yasikiayo na macho yaonayo, 2 Bwana ndiye alivifanya vyote viwili. 1
Isaiah 29:12Au kama mkimpa mtu yeyote kitabu hiki asiyeweza kusoma na kumwambia, “Tafadhali kisome,” atajibu, “Mimi sijui kusoma.”
Isaiah 32:3Ndipo macho ya wale wanaoona hayatafumbwa tena, 2 nayo masikio ya wale wanaosikia yatasikiliza. 1
Isaiah 42:7kuwafungua macho wale wasioona, 2 kuwaacha huru kutoka kifungoni waliofungwa jela, 1 na kuwafungua kutoka gerezani 2 wale wanaokaa gizani. 1
Jeremiah 31:33“Hili ndilo agano nitakalofanya na nyumba ya Israeli 2 baada ya siku zile,” asema Bwana. 1 “Nitaweka sheria yangu katika nia zao, 2 na kuiandika mioyoni mwao. 1 Nitakuwa Mungu wao, 2 nao watakuwa watu wangu. 1