The Bible Software
bible.softwareIsayaIsaya 29 › Isaya 29:17

Isaya 29:17

Kwa muda mfupi sana, je, Lebanoni haitageuzwa kuwa shamba lenye rutuba, 2 na shamba lenye rutuba liwe kama msitu? 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

Is it not yet a very little while, and Lebanon shall be turned into a fruitful field, and the fruitful field shall be esteemed as a forest?

In Context

16Mnapindua mambo juu chini, 2 kana kwamba mfinyanzi aweza kufikiriwa kuwa kama udongo wa mfinyanzi! 1 Je, kile kilichofinyangwa chaweza kumwambia yule aliyekifinyanga, 2 “Wewe hukunifinyanga mimi?” 1 Je, chungu kinaweza kumwambia mfinyanzi, 2 “Wewe hujui chochote?” 1

18Katika siku ile viziwi watasikia maneno ya kitabu, 2 na katika utusitusi na giza 2 macho ya kipofu yataona. 1

Read all of Isaya 29

Cross References

Psalms 84:6Wanapopita katika Bonde la Baka, + 84:6 Yaani Bonde la Vilio. 2 hulifanya mahali pa chemchemi, 2 pia mvua za vuli hulijaza kwa madimbwi. + 84:6 Au: baraka. 1

Psalms 107:35Aligeuza jangwa likawa madimbwi ya maji, 2 nayo ardhi kame kuwa chemchemi za maji zitiririkazo; 1

Isaiah 32:15mpaka Roho amwagwe juu yetu kutoka juu, 2 nalo jangwa kuwa shamba lenye rutuba, 2 na shamba lenye rutuba kuwa kama msitu. 1

Isaiah 41:19Katika jangwa nitaotesha 2 mwerezi, mshita, mhadasi na mzeituni. 1 Nitaweka misunobari, mivinje na misanduku 2 pamoja huko nyikani, 1

Isaiah 55:13Badala ya kichaka cha miiba 2 itaota miti ya misunobari, 1 na badala ya michongoma 2 utaota mhadasi. + 55:13 Mhadasi ni aina ya mti ambao huota milimani karibu na Yerusalemu, hutoa harufu nzuri itumikayo kutengeneza manukato; kwa Kiebrania ni “hadas”, na ilikuwa inatumika kujenga vibanda wakati wa Sikukuu ya Vibanda (ona pia Neh 8:15 ). 1 Hili litakuwa jambo la kumpatia Bwana jina, 2 kwa ajili ya ishara ya milele, 2 ambayo haitaharibiwa.”

Isaiah 65:12nitawaagiza mfe kwa upanga, 2 nanyi nyote mtainama chini ili kuchinjwa; 1 kwa kuwa niliwaita lakini hamkuitika, 2 nilisema lakini hamkusikiliza. 1 Mlitenda maovu machoni pangu, 2 nanyi mkachagua mambo yale yanayonichukiza.”

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Isaya 29:17

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Isaya 29:16Isaya 29Isaya 29:18 →