Isaiah 29:21
wale ambao kwa neno humfanya mtu kuwa mwenye hatia, 2 wamtegeao mtego mtetezi katika mahakama, 1 na kwa ushuhuda wa uongo humnyima haki 2 yeye asiye na hatia.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Proverbs 28:21Kuonyesha upendeleo si vizuri, 2 hata hivyo mtu atafanya kosa kwa kipande cha mkate. 1
Isaiah 5:23wale wanaoachilia wenye hatia kwa kupokea hongo, 2 lakini huwanyima haki wasio na hatia. 1
Jeremiah 18:18Wakasema, “Njooni, tutunge hila dhidi ya Yeremia; kwa kuwa kufundisha sheria kwa kuhani hakutapotea, wala shauri litokalo kwa mwenye hekima, wala neno la manabii. Hivyo njooni, tumshambulie kwa ndimi zetu na tusijali chochote asemacho.” 1
Jeremiah 26:2“Hili ndilo Bwana asemalo: Simama katika ua wa nyumba ya Bwana na useme na watu wote wa miji ya Yuda wanaokuja kuabudu katika nyumba ya Bwana. Waambie kila kitu nitakachokuamuru, usipunguze neno.
Amos 5:10mnamchukia yule akemeaye mahakamani, 2 na kumdharau yule ambaye husema kweli. 1
Micah 2:6Manabii wao husema, “Usitabiri. 2 Usitabiri kuhusu vitu hivi; 2 aibu haitatupata.” 1