The Bible Software
bible.softwareIsaiahIsaiah 29 › Isaiah 29:20

Isaiah 29:20

Wakatili watatoweka na wenye kudhihaki watatokomea, 2 nao wote wenye jicho la uovu watakatiliwa mbali, 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

For the terrible one is brought to nought, and the scorner is consumed, and all that watch for iniquity are cut off:

In Context

19Mara nyingine tena wanyenyekevu watafurahi katika Bwana, 2 wahitaji watafurahi katika yeye Aliye Mtakatifu wa Israeli. 1

21wale ambao kwa neno humfanya mtu kuwa mwenye hatia, 2 wamtegeao mtego mtetezi katika mahakama, 1 na kwa ushuhuda wa uongo humnyima haki 2 yeye asiye na hatia.

Read all of Isaiah 29

Cross References

Isaiah 13:3Nimewaamuru watakatifu wangu; 2 nimewaita mashujaa wangu waitimize hasira yangu: 2 wale wanaoshangilia ushindi wangu. 1

Isaiah 28:14Kwa hiyo sikieni neno la Bwana, enyi watu wenye dharau 2 mnaotawala watu hawa wa Yerusalemu. 1

Isaiah 49:25Lakini hili ndilo asemalo Bwana: 1 “Naam, mateka watachukuliwa kutoka kwa mashujaa, 2 na nyara zitapokonywa kutoka kwa watu wakali. 1 Nitashindana na wale wanaoshindana nawe, 2 nami nitawaokoa watoto wako. 1

Isaiah 59:4Hakuna hata mmoja anayedai kwa haki; 2 hakuna hata mmoja anayetetea shauri lake kwa haki. 1 Wanategemea mabishano matupu na kusema uongo, 2 huchukua mimba ya magomvi na kuzaa uovu. 1

Daniel 7:19“Kisha nilitaka kufahamu maana ya kweli ya mnyama yule wa nne, ambaye alikuwa tofauti na wale wengine wote, tena wa kutisha sana, na meno yake ya chuma na makucha ya shaba: mnyama ambaye alipondaponda na kuangamiza wahanga wake, na kukanyaga chochote kilichosalia.

Micah 2:3Kwa hiyo, Bwana asema: 1 “Ninapanga maangamizi dhidi ya watu hawa, 2 ambayo hamwezi kujiokoa wenyewe. 1 Hamtatembea tena kwa majivuno, 2 kwa kuwa utakuwa ni wakati wa maafa. 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Isaiah 29:20

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Isaiah 29:19Isaiah 29Isaiah 29:21 →