The Bible Software
bible.softwareIsaiahIsaiah 29 › Isaiah 29:9

Isaiah 29:9

Duwaeni na kushangaa, 2 jifanyeni vipofu wenyewe na msione, 1 leweni, lakini si kwa mvinyo, 2 pepesukeni lakini si kwa kileo. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

Stay yourselves, and wonder; cry ye out, and cry: they are drunken, but not with wine; they stagger, but not with strong drink.

In Context

8kama vile mtu aliye na njaa aotavyo kuwa anakula, 2 lakini huamka, bado njaa yake ingalipo, 1 kama vile mtu mwenye kiu aotavyo kuwa anakunywa maji, 2 lakini huamka akiwa anazimia, akiwa bado angali ana kiu. 1 Hivyo ndivyo itakavyokuwa kwa makundi yote ya mataifa 2 yanayopigana dhidi ya Mlima Sayuni. 1

10Bwana amewaleteeni usingizi mzito: 2 Ameziba macho yenu (ninyi manabii); 2 amefunika vichwa vyenu (ninyi waonaji).

Read all of Isaiah 29

Cross References

Isaiah 6:10Fanya mioyo ya watu hawa kuwa migumu, 2 fanya masikio yao yasisikie, 2 na upofushe macho yao. 1 Wasije wakaona kwa macho yao, 2 na wakasikiliza kwa masikio yao, 2 wakaelewa kwa mioyo yao, 1 nao wakageuka, nikawaponywa.”

Isaiah 22:12Bwana, Bwana Mwenye Nguvu Zote, 2 aliwaita siku ile 1 ili kulia na kuomboleza, 2 kungʼoa nywele zenu na kuvaa nguo ya gunia. 1

Isaiah 29:10Bwana amewaleteeni usingizi mzito: 2 Ameziba macho yenu (ninyi manabii); 2 amefunika vichwa vyenu (ninyi waonaji).

Isaiah 49:26Nitawafanya wale wanaokuonea kula nyama yao wenyewe, 2 watalewa kwa damu yao wenyewe, 2 kama vile kwa mvinyo. 1 Ndipo wanadamu wote watajua 2 ya kuwa Mimi, Bwana, ni Mwokozi wako, 2 Mkombozi wako, niliye Mwenye Nguvu wa Yakobo.”

Isaiah 51:21Kwa hiyo sikiliza hili, wewe uliyeteswa, 2 uliyelewa, lakini si kwa mvinyo. 1

Jeremiah 2:12Shangaeni katika hili, ee mbingu, 2 nanyi tetemekeni kwa hofu kuu,” 4 asema Bwana. 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Isaiah 29:9

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Isaiah 29:8Isaiah 29Isaiah 29:10 →