The Bible Software
bible.softwareIsaiahIsaiah 3 › Isaiah 3:14

Isaiah 3:14

Bwana anaingia katika hukumu 2 dhidi ya wazee na viongozi wa watu wake: 1 “Ninyi ndio mlioharibu shamba langu la mizabibu, 2 mali zilizonyangʼanywa maskini zimo nyumbani mwenu. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

The LORD will enter into judgment with the ancients of his people, and the princes thereof: for ye have eaten up the vineyard; the spoil of the poor is in your houses.

In Context

13Bwana anachukua nafasi yake mahakamani, 2 anasimama kuhukumu watu. 1

15Mnamaanisha nini kuwaponda watu wangu 2 na kuzisaga nyuso za maskini?” 4 asema Bwana, Bwana Mwenye Nguvu Zote. 1

Read all of Isaiah 3

Cross References

Leviticus 25:17Mmoja asimpunje mwingine, bali utamcha Mungu wako. Mimi ndimi Bwana Mungu wako.

Job 24:2Watu husogeza mawe ya mpaka; 2 huchunga makundi ya wanyama waliyonyangʼanya kwa nguvu. 1

Job 34:23Mungu hana haja ya kumchunguza mtu sana, 2 ili apate kuja mbele zake kwa hukumu. 1

Psalms 143:2Usimhukumu mtumishi wako, 2 kwa kuwa hakuna mtu anayeishi aliye mwenye haki mbele zako. 1

Isaiah 5:7Shamba la mzabibu la Bwana Mwenye Nguvu Zote 2 ni nyumba ya Israeli, 1 na watu wa Yuda 2 ni bustani yake ya kumpendeza. 1 Alitazamia haki, lakini akaona umwagaji damu, 2 alitazamia uadilifu, lakini akasikia vilio vya taabu. 1 Ole Na Hukumu 1

Jeremiah 12:10Wachungaji wengi wataliharibu shamba langu la mizabibu 2 na kulikanyaga shamba langu; 1 watalifanya shamba langu zuri 2 kuwa jangwa la ukiwa. 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Isaiah 3:14

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Isaiah 3:13Isaiah 3Isaiah 3:15 →