The Bible Software
bible.softwareIsaiahIsaiah 3 › Isaiah 3:25

Isaiah 3:25

Wanaume wako watauawa kwa upanga, 2 nao mashujaa wako watauawa vitani. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

Thy men shall fall by the sword, and thy mighty in the war.

In Context

24Badala ya harufu ya manukato kutakuwa na uvundo; 2 badala ya mishipi, ni kamba; 1 badala ya nywele zilizotengenezwa vizuri, ni upara; 2 badala ya mavazi mazuri, ni nguo za magunia; 2 badala ya uzuri, ni alama ya aibu kwa chuma cha moto. 1

26Malango ya Sayuni yataomboleza na kulia, 2 ataketi mavumbini akiwa fukara.

Read all of Isaiah 3

Cross References

2 Chronicles 28:6Kwa siku moja Peka mwana wa Remalia aliwaua askari 120,000 katika Yuda, kwa kuwa Yuda walikuwa wamemwacha Bwana, Mungu wa baba zao.

Isaiah 1:20lakini kama mkikataa na kuasi, 2 mtaangamizwa kwa upanga.” 4 Kwa kuwa kinywa cha Bwana kimenena. 1

Jeremiah 14:18Kama nikienda mashambani, 2 ninaona wale waliouawa kwa upanga; 1 kama nikienda mjini, 2 ninaona maangamizi ya njaa. 1 Nabii na kuhani kwa pamoja 2 wamekwenda katika nchi wasiyoijua.’ ” 1

Jeremiah 19:7“ ‘Nitaiharibu mipango ya Yuda na Yerusalemu mahali hapa. Nitawafanya waanguke kwa upanga mbele ya adui zao, katika mikono ya wale watafutao uhai wao, nami nitaitoa mizoga yao kuwa chakula cha ndege wa angani na wanyama wa nchi.

Lamentations 2:21“Vijana na wazee hujilaza pamoja 2 katika mavumbi ya barabarani, 1 wavulana wangu na wasichana 2 wameanguka kwa upanga. 1 Umewaua katika siku ya hasira yako, 2 umewachinja bila huruma. 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Isaiah 3:25

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Isaiah 3:24Isaiah 3Isaiah 3:26 →