Isaiah 30:11
Acheni njia hii, 2 ondokeni katika mapito haya, 1 nanyi acheni kutukabili pamoja 2 na yeye Aliye Mtakatifu wa Israeli!”
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Job 21:14Lakini humwambia Mungu, ‘Tuache sisi!’ 2 Hatuna haja ya kufahamu njia zako. 1
Isaiah 29:21wale ambao kwa neno humfanya mtu kuwa mwenye hatia, 2 wamtegeao mtego mtetezi katika mahakama, 1 na kwa ushuhuda wa uongo humnyima haki 2 yeye asiye na hatia.
John 15:23Yeyote anayenichukia mimi, anamchukia pia na Baba yangu.
Romans 1:30wasingiziaji, wanaomchukia Mungu, wajeuri, wenye kiburi na majivuno, wenye hila, wasiotii wazazi wao,
Ephesians 4:18Watu hao akili zao zimetiwa giza na wametengwa mbali na uzima wa Mungu kwa sababu ya ujinga wao kutokana na ugumu wa mioyo yao.