The Bible Software
bible.softwareIsayaIsaya 30 › Isaya 30:14

Isaya 30:14

Utavunjika vipande vipande kama chombo cha udongo 2 ukipasuka pasipo huruma 1 ambapo katika vipande vyake 2 hakuna kipande kitakachopatikana 1 kwa kuukulia makaa kutoka jikoni 2 au kuchotea maji kisimani.”

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

And he shall break it as the breaking of the potters’ vessel that is broken in pieces; he shall not spare: so that there shall not be found in the bursting of it a sherd to take fire from the hearth, or to take water withal out of the pit.

In Context

13dhambi hii itakuwa kwenu 2 kama ukuta mrefu, 2 wenye ufa na wenye kubetuka, 1 ambao unaanguka ghafula, 2 mara moja. 1

15Hili ndilo Bwana Mwenyezi, yeye Aliye Mtakatifu wa Israeli, asemalo: 1 “Katika kutubu na kupumzika ndio wokovu wenu, 2 katika kutulia na kutumaini ndizo nguvu zenu, 2 lakini hamkutaka. 1

Read all of Isaya 30

Cross References

Deuteronomy 29:20Bwana kamwe hatakuwa radhi kumsamehe, ghadhabu na wivu wa Mungu vitawaka dhidi ya mtu huyo. Laana zote zilizoandikwa katika kitabu hiki zitamwangukia na Bwana atafuta jina lake chini ya mbingu.

Psalms 2:9Utawatawala kwa fimbo ya chuma 2 na kuwavunjavunja kama chombo cha mfinyanzi.” 1

Isaiah 27:11Wakati vijiti vyake vimekauka, huvunjwa 2 nao wanawake huja na kuwasha navyo moto. 1 Kwa kuwa hili ni taifa lisilo na ufahamu, 2 kwa hiyo yeye aliyewafanya hana huruma juu yao, 2 Muumba wao hawaonyeshi fadhili.

Jeremiah 13:14Nitawagonganisha kila mmoja na mwenzake, baba na wana wao, asema Bwana. Sitawarehemu wala kuwahurumia ili niache kuwaangamiza.’ ” 1 Tishio La Kutekwa 1

Jeremiah 19:11uwaambie, ‘Hili ndilo Bwana Mwenye Nguvu Zote asemalo: Nitalivunja taifa hili na mji huu kama gudulia hili la mfinyanzi lilivyovunjwa, nalo haliwezi kutengenezeka tena. Watawazika waliokufa huko Tofethi hata isiwepo nafasi zaidi.

Ezekiel 5:11Kwa hiyo hakika kama niishivyo, asema Bwana Mwenyezi, kwa kuwa mmenajisi mahali pangu patakatifu kwa sanamu zenu mbaya sana na desturi zenu za machukizo, mimi mwenyewe nitaondoa fadhili zangu kwenu.

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Isaya 30:14

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Isaya 30:13Isaya 30Isaya 30:15 →