Isaiah 30:13
dhambi hii itakuwa kwenu 2 kama ukuta mrefu, 2 wenye ufa na wenye kubetuka, 1 ambao unaanguka ghafula, 2 mara moja. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
1 Kings 20:30Waliobaki wakatorokea katika mji wa Afeki, mahali ambapo watu 27,000 waliangukiwa na ukuta. Naye Ben-Hadadi akakimbilia mjini na kujificha kwenye chumba cha ndani.
Psalms 62:3Mtamshambulia mtu hata lini? 2 Je, ninyi nyote mtamtupa chini, 2 ukuta huu ulioinama na uzio huu unaotikisika? 1
Psalms 73:19Tazama jinsi wanavyoangamizwa ghafula, 2 wanatoweshwa kabisa na vitisho! 1
Isaiah 29:5Lakini adui zako wengi watakuwa kama vumbi laini, 2 kundi la wakatili watakuwa 2 kama makapi yapeperushwayo. 1 Naam, ghafula, mara moja, 2
Ezekiel 13:14Nitaubomoa ukuta mlioupaka chokaa na kuuangusha chini ili msingi wake uachwe wazi. Utakapoanguka, mtaangamizwa ndani yake, nanyi mtajua kuwa Mimi ndimi Bwana.
Luke 6:49Lakini yeye anayesikia maneno yangu wala asiyatende, ni kama mtu aliyejenga nyumba juu ya ardhi bila kuweka msingi. Mafuriko yalipoikumba nyumba ile, ikaanguka mara na kubomoka kabisa.”