Isaya 30:15
Hili ndilo Bwana Mwenyezi, yeye Aliye Mtakatifu wa Israeli, asemalo: 1 “Katika kutubu na kupumzika ndio wokovu wenu, 2 katika kutulia na kutumaini ndizo nguvu zenu, 2 lakini hamkutaka. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Exodus 14:14Bwana atawapigania ninyi, nanyi mnatakiwa kutulia tu.”
2 Chronicles 16:8Je, hukumbuki lililotendeka kwa Wakushi na Walibia, hawakuwa jeshi lenye nguvu na magari mengi ya vita na wapanda farasi? Hata hivyo, ulipomtegemea Bwana yeye aliwatia mkononi mwako.
Psalms 80:11Matawi yake yalienea mpaka Baharini, + 80:11 Huenda inamaanisha Bahari ya Mediterania. 2 machipukizi yake mpaka kwenye Mto. + 80:11 Yaani Mto Frati. 1
Isaiah 7:4Mwambie, ‘Uwe mwangalifu, utulie na usiogope. Usife moyo kwa ajili ya watu hawa wawili walio kama visiki vya kuni vifukavyo moshi, kwa ajili ya hasira kali ya Resini na Aramu na ya mwana wa Remalia.
Isaiah 30:7kuvipeleka Misri, 2 ambaye msaada wake haufai kabisa. 1 Kwa hiyo nimemwita “Rahabu Asiyefanya Chochote.” 1
Isaiah 32:17Matunda ya haki yatakuwa amani, 2 matokeo ya haki yatakuwa utulivu 2 na matumaini milele. 1