The Bible Software
bible.softwareIsayaIsaya 32 › Isaya 32:14

Isaya 32:14

Ngome itaachwa, 2 mji wenye kelele nyingi utahamwa, 1 ngome ndani ya mji na mnara wa ulinzi vitakuwa ukiwa milele, 2 mahali pazuri pa punda na malisho ya makundi ya kondoo, 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

Because the palaces shall be forsaken; the multitude of the city shall be left; the forts and towers shall be for dens for ever, a joy of wild asses, a pasture of flocks;

In Context

13na kwa ajili ya nchi ya watu wangu, 2 nchi ambayo miiba na michongoma imemea: 1 naam, ombolezeni kwa ajili ya nyumba zote za furaha 2 na kwa ajili ya mji huu wenye kufanya sherehe. 1

15mpaka Roho amwagwe juu yetu kutoka juu, 2 nalo jangwa kuwa shamba lenye rutuba, 2 na shamba lenye rutuba kuwa kama msitu. 1

Read all of Isaya 32

Cross References

2 Kings 25:9Alichoma moto Hekalu la Bwana, jumba la kifalme, na nyumba zote za Yerusalemu. Aliteketeza kila jengo muhimu.

Nehemiah 3:26na watumishi wa Hekalu walioishi juu ya kilima cha Ofeli walikarabati hadi kufikia mkabala na Lango la Maji, kuelekea mashariki na ule mnara uliojitokeza.

Isaiah 3:26Malango ya Sayuni yataomboleza na kulia, 2 ataketi mavumbini akiwa fukara.

Isaiah 6:11Ndipo nikasema, “Hadi lini, Ee Bwana?” Naye akanijibu: 1 “Hadi miji iwe imeachwa magofu 2 na bila wakazi, 1 hadi nyumba zitakapobaki bila watu, 2 na mashamba yatakapoharibiwa na kuangamizwa, 1

Isaiah 24:1Tazama, Bwana ataifanya dunia kuwa ukiwa 2 na kuiharibu, 1 naye atauharibu uso wake 2 na kutawanya wakaao ndani yake: 1

Isaiah 24:12Mji umeachwa katika uharibifu, 2 lango lake limevunjwa vipande. 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Isaya 32:14

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Isaya 32:13Isaya 32Isaya 32:15 →