The Bible Software
bible.softwareIsaiahIsaiah 30 › Isaiah 30:28

Isaiah 30:28

Pumzi yake ni kama mkondo wa maji yaendayo kasi, 2 yakipanda hadi shingoni. 1 Hutikisa mataifa katika chekecheke ya uharibifu, 2 huweka lijamu katika mataya ya mataifa 2 ambayo huwaongoza upotevuni. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

And his breath, as an overflowing stream, shall reach to the midst of the neck, to sift the nations with the sieve of vanity: and there shall be a bridle in the jaws of the people, causing them to err.

In Context

27Tazama, Jina la Bwana linakuja kutoka mbali, 2 likiwa na hasira kali inayowaka 2 pamoja na wingu zito la moshi, 1 midomo yake imejaa ghadhabu 2 na ulimi wake ni moto ulao. 1

29Nanyi mtaimba kama usiku ule mnaadhimisha 2 sikukuu takatifu. 1 Mioyo yenu itashangilia 2 kama vile watu wanapokwea na filimbi 1 kwenye mlima wa Bwana, 2 kwa Mwamba wa Israeli. 1

Read all of Isaiah 30

Cross References

2 Samuel 17:14Absalomu na watu wote wa Israeli wakasema, “Shauri la Hushai, Mwariki, ni jema zaidi kuliko lile la Ahithofeli.” Kwa maana Bwana alikuwa amekusudia kupinga shauri nzuri la Ahithofeli, ili kuleta maafa juu ya Absalomu.

2 Kings 19:28Kwa sababu unaghadhibika dhidi yangu, 2 na ufidhuli wako umefika masikioni mwangu, 1 nitaweka ndoana yangu puani mwako 2 na hatamu yangu kinywani mwako, 2 nami nitakufanya urudi kwa njia ile uliyoijia.’

Psalms 18:15Mabonde ya bahari yalifunuliwa, 2 na misingi ya dunia ikawa wazi 1 kwa kukaripia kwako, Ee Bwana, 2 kwa uvumi wa pumzi kutoka puani mwako. 1

Proverbs 26:3Mjeledi kwa farasi, lijamu kwa punda, 2 nayo fimbo kwa migongo ya wapumbavu! 1

Isaiah 11:4bali kwa uadilifu atahukumu wahitaji, 2 kwa haki ataamua wanyenyekevu wa dunia. 1 Ataipiga dunia kwa fimbo ya kinywa chake, 2 kwa pumzi ya midomo yake atawaua waovu. 1

Isaiah 17:14Wakati wa jioni, hofu ya ghafula! 2 Kabla ya asubuhi, wametoweka! 1 Hili ndilo fungu la wale wanaotupora, 2 fungu la wale wanaotunyangʼanya mali zetu.

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Isaiah 30:28

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Isaiah 30:27Isaiah 30Isaiah 30:29 →