The Bible Software
bible.softwareIsayaIsaya 30 › Isaya 30:29

Isaya 30:29

Nanyi mtaimba kama usiku ule mnaadhimisha 2 sikukuu takatifu. 1 Mioyo yenu itashangilia 2 kama vile watu wanapokwea na filimbi 1 kwenye mlima wa Bwana, 2 kwa Mwamba wa Israeli. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

Ye shall have a song, as in the night when a holy solemnity is kept; and gladness of heart, as when one goeth with a pipe to come into the mountain of the LORD, to the mighty One of Israel.

In Context

28Pumzi yake ni kama mkondo wa maji yaendayo kasi, 2 yakipanda hadi shingoni. 1 Hutikisa mataifa katika chekecheke ya uharibifu, 2 huweka lijamu katika mataya ya mataifa 2 ambayo huwaongoza upotevuni. 1

30Bwana atawasababisha watu waisikie sauti yake ya utukufu, 2 naye atawafanya wauone mkono wake ukishuka 1 pamoja na hasira yake kali na moto ulao, 2 kukiwa na tufani ya mvua, 2 ngurumo za radi na mvua ya mawe. 1

Read all of Isaya 30

Cross References

Exodus 15:1Ndipo Mose na Waisraeli wakamwimbia Bwana wimbo huu: 1 “Nitamwimbia Bwana, 2 kwa kuwa ametukuzwa sana. 1 Farasi na mpanda farasi 2 amewatosa baharini. 1

Deuteronomy 16:6isipokuwa mahali atakapopachagua kama makao kwa ajili ya Jina lake. Hapo ndipo lazima mtoe dhabihu ya Pasaka jioni, jua litakapotua, iwe kumbukumbu yenu ya kutoka Misri.

Deuteronomy 32:4Yeye ni Mwamba, kazi zake ni kamilifu, 2 njia zake zote ni haki. 1 Mungu mwaminifu ambaye hakosei, 2 yeye ni mnyofu na mwenye haki. 1

1 Chronicles 13:7Wakalisafirisha Sanduku la Mungu kwa gari jipya la kukokotwa na maksai kutoka nyumba ya Abinadabu, Uza na Ahio wakiliongoza gari hilo.

Psalms 18:31Kwa maana ni nani aliye Mungu 2 zaidi ya Bwana? 1 Ni nani aliye Mwamba 2 isipokuwa Mungu wetu? 1

Psalms 42:4Mambo haya nayakumbuka 2 ninapoimimina nafsi yangu: 1 Jinsi nilivyokuwa nikienda na umati wa watu, 2 nikiongoza maandamano kuelekea kwenye nyumba ya Mungu, 1 kwa kelele za shangwe na za shukrani 2 katikati ya umati uliosherehekea. 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Isaya 30:29

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Isaya 30:28Isaya 30Isaya 30:30 →