The Bible Software
bible.softwareIsayaIsaya 30 › Isaya 30:31

Isaya 30:31

Sauti ya Bwana itaivunjavunja Ashuru, 2 kwa fimbo yake ya utawala atawapiga. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

For through the voice of the LORD shall the Assyrian be beaten down, which smote with a rod.

In Context

30Bwana atawasababisha watu waisikie sauti yake ya utukufu, 2 naye atawafanya wauone mkono wake ukishuka 1 pamoja na hasira yake kali na moto ulao, 2 kukiwa na tufani ya mvua, 2 ngurumo za radi na mvua ya mawe. 1

32Kila pigo Bwana atakaloliweka juu yao 2 kwa fimbo yake ya kuadhibu, 1 litakuwa kwa wimbo wa matari na vinubi, 2 anapopigana nao katika vita 2 kwa mapigo ya mkono wake. 1

Read all of Isaya 30

Cross References

Psalms 17:13Inuka, Ee Bwana, pambana nao, uwaangushe, 2 niokoe kutokana na waovu kwa upanga wako. 1

Isaiah 9:4Kama vile siku ya kushindwa kwa Wamidiani, 2 umevunja nira iliyowalemea, 1 ile gongo mabegani mwao na 2 fimbo yake yeye aliyewaonea. 1

Isaiah 10:12Bwana atakapokuwa amemaliza kazi yake yote dhidi ya Mlima Sayuni na Yerusalemu, atasema, “Nitamwadhibu mfalme wa Ashuru kwa ajili ya majivuno ya ukaidi wa moyo wake na kutazama kwa macho yenye dharau.”

Isaiah 10:24Kwa hiyo, hili ndilo Bwana, Bwana Mwenye Nguvu Zote asemalo: 1 “Enyi watu wangu mkaao Sayuni, 2 msiwaogope Waashuru, 1 wanaowapiga ninyi kwa fimbo 2 na kuinua rungu dhidi yenu, kama Misri ilivyofanya. 1

Isaiah 30:30Bwana atawasababisha watu waisikie sauti yake ya utukufu, 2 naye atawafanya wauone mkono wake ukishuka 1 pamoja na hasira yake kali na moto ulao, 2 kukiwa na tufani ya mvua, 2 ngurumo za radi na mvua ya mawe. 1

Isaiah 37:36Ndipo malaika wa Bwana akaenda, akawaua wanajeshi 185,000 katika kambi ya Waashuru. Wenzao walipoamka asubuhi yake, walikuta maiti kila mahali!

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Isaya 30:31

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Isaya 30:30Isaya 30Isaya 30:32 →