Isaiah 30:4
Ingawa wana maafisa katika Soani 2 na wajumbe wamewasili katika Hanesi, 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
For his princes were at Zoan, and his ambassadors came to Hanes.
In Context
3Lakini ulinzi wa Farao utakuwa kwa aibu yenu, 2 kivuli cha Misri kitawaletea fedheha. 1
Cross References
2 Kings 17:4Lakini mfalme wa Ashuru akagundua kuwa Hoshea alikuwa msaliti, kwa kuwa alikuwa ametuma wajumbe kwa So mfalme wa Misri, naye hakuendelea kulipa ushuru kwa mfalme wa Ashuru tena kama alivyokuwa anafanya kila mwaka. Kwa hiyo Shalmanesa akamkamata na kumtia gerezani.
Isaiah 57:9Ulikwenda kwa Moleki + 57:9 Moleki alikuwa mungu aliyekuwa anaabudiwa na Waamoni; pia alijulikana kama Malkomu, Maloki au Kemoshi wa Moabu. ukiwa na mafuta ya zeituni, 2 na ukaongeza manukato yako. 1 Ukawatuma wajumbe wako mbali sana, 2 ukashuka kwenye kaburi + 57:9 Kaburi hapa maana yake ni Kuzimu, kwa Kiebrania ni Sheol. lenyewe! 1
Ezekiel 30:14Nitaifanya Pathrosi + 30:14 Pathrosi ni Misri ya Juu. kuwa ukiwa 2 na kuitia moto Soani, 2 nami nitaipiga kwa adhabu Thebesi + 30:14 Thebesi kwa Kiebrania ni No (au No-Amoni), mji katika Misri. 1
Hosea 7:11“Efraimu ni kama hua, 2 hudanganywa kwa urahisi na hana akili: 1 mara anaita Misri, 2 mara anageukia Ashuru. 1