The Bible Software
bible.softwareIsayaIsaya 30 › Isaya 30:5

Isaya 30:5

kila mmoja ataaibishwa 2 kwa sababu ya taifa lisilowafaa kitu, 1 ambalo haliwaletei msaada wala faida, 2 bali aibu tu na fedheha.”

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

They were all ashamed of a people that could not profit them, nor be an help nor profit, but a shame, and also a reproach.

In Context

4Ingawa wana maafisa katika Soani 2 na wajumbe wamewasili katika Hanesi, 1

6Neno kuhusu wanyama wa Negebu: 1 Katika nchi ya taabu na shida, 2 ya simba za dume na jike, 2 ya nyoka mwenye sumu kali na nyoka warukao, 1 wajumbe huchukua utajiri wao juu ya migongo ya punda, 2 hazina zao juu ya nundu za ngamia, 1 kwa lile taifa lisilokuwa na faida, 2

Read all of Isaya 30

Cross References

Isaiah 20:5Wale waliotegemea Kushi na kujivunia Misri wataogopa na kuaibika.

Isaiah 30:16Mlisema, ‘Hapana, tutakimbia kwa farasi.’ 2 Kwa hiyo mtakimbia! 1 Mlisema, ‘Tutakimbia kwa farasi waendao kasi.’ 2 Kwa hiyo wanaowafukuza watakwenda kasi! 1

Jeremiah 2:36Kwa nini unatangatanga sana, 2 kubadili njia zako? 1 Utakatishwa tamaa na Misri 2 kama ulivyokatishwa na Ashuru. 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Isaya 30:5

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Isaya 30:4Isaya 30Isaya 30:6 →