The Bible Software
bible.softwareIsayaIsaya 30 › Isaya 30:9

Isaya 30:9

Hawa ni watu waasi, watoto wadanganyifu, 2 watoto ambao hawataki kusikiliza mafundisho ya Bwana. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

That this is a rebellious people, lying children, children that will not hear the law of the LORD:

In Context

8Nenda sasa, liandike neno hili juu ya kibao kwa ajili yao, 2 liandike kwenye kitabu, 1 ili liweze kuwa shahidi milele 2 kwa ajili ya siku zijazo. 1

10Wanawaambia waonaji, 2 “Msione maono tena!” 1 Nako kwa manabii wanasema, 2 “Msiendelee kutupatia maono 2 ambayo ni ya kweli! 1 Tuambieni mambo ya kupendeza, 2 tabirini mambo ya uongo. 1

Read all of Isaya 30

Cross References

Deuteronomy 31:27Kwa kuwa ninajua jinsi mlivyo waasi na mlivyo na shingo ngumu. Kama mmekuwa mkiasi dhidi ya Bwana nikiwa bado niko hai na nikiwa pamoja nanyi, mtaasi mara ngapi baada ya kufa kwangu!

2 Chronicles 33:10Bwana akasema na Manase pamoja na watu wake, lakini hawakumjali.

Nehemiah 9:29“Ukawaonya warudi katika sheria yako, lakini wakawa na kiburi na hawakutii amri zako. Wakatenda dhambi dhidi ya maagizo yako ambayo kwayo mtu ataishi kama akiyatii. Kwa ukaidi wakakugeuzia kisogo, wakawa na shingo ngumu na wakakataa kusikiliza.

Proverbs 28:9Kama mtu yeyote akikataa kusikia sheria, 2 hata maombi yake ni chukizo. 1

Isaiah 1:10Sikieni neno la Bwana, 2 ninyi watawala wa Sodoma; 1 sikilizeni sheria ya Mungu wetu, 2 enyi watu wa Gomora! 1

Isaiah 10:5“Ole kwa Ashuru, fimbo ya hasira yangu, 2 ambaye mkononi mwake ana rungu ya ghadhabu yangu! 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Isaya 30:9

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Isaya 30:8Isaya 30Isaya 30:10 →