The Bible Software
bible.softwareIsaiahIsaiah 31 › Isaiah 31:2

Isaiah 31:2

Hata hivyo yeye pia ana hekima na anaweza kuleta maafa, 2 wala hayatangui maneno yake. 1 Yeye atainuka dhidi ya nyumba ya mwovu, 2 dhidi ya wale ambao huwasaidia watenda mabaya. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

Yet he also is wise, and will bring evil, and will not call back his words: but will arise against the house of the evildoers, and against the help of them that work iniquity.

In Context

1Ole wao wale washukao Misri kwa ajili ya msaada, 2 wale wategemeao farasi, 1 wanaoweka tumaini katika wingi wa magari yao ya vita, 2 na katika nguvu nyingi za wapanda farasi, 1 lakini hawamwangalii yeye Aliye Mtakatifu wa Israeli, 2 wala hawatafuti msaada kwa Bwana. 1

3Lakini Wamisri ni wanadamu, wala si Mungu, 2 farasi wao ni nyama, wala si roho. 1 Wakati Bwana atakaponyoosha Mkono wake, 2 yeye anayesaidia atajikwaa, 2 naye anayesaidiwa ataanguka, 2 wote wawili wataangamia pamoja.

Read all of Isaiah 31

Cross References

Numbers 10:35Wakati wowote Sanduku lilipoondoka, Mose alisema, 1 “Ee Bwana, inuka! 2 Watesi wako na watawanyike; 2 adui zako na wakimbie mbele zako.”

Joshua 23:15Lakini kama vile kila ahadi njema ya Bwana Mungu wenu imekuwa kweli, vivyo hivyo Bwana ataleta maovu yote kama alivyo onya, mpaka awe amewaangamiza kutoka nchi hii nzuri aliyowapa.

Job 5:13Yeye huwanasa wenye hekima katika hila yao, 2 nayo mipango ya wadanganyifu huifagilia mbali. 1

Job 12:16Kwake kuna nguvu na ushindi; 2 adanganywaye na adanganyaye, wote wawili ni wake. 1

Psalms 68:1Mungu na ainuke, watesi wake watawanyike, 2 adui zake na wakimbie mbele zake. 1

Isaiah 20:4vivyo hivyo mfalme wa Ashuru atawaongoza mateka wa Wamisri, na watu wa uhamisho wa Kushi, uchi na bila viatu, vijana hata wazee, wakiwa matako wazi, kwa aibu ya Wamisri.

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Isaiah 31:2

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Isaiah 31:1Isaiah 31Isaiah 31:3 →