The Bible Software
bible.softwareIsaiahIsaiah 31 › Isaiah 31:3

Isaiah 31:3

Lakini Wamisri ni wanadamu, wala si Mungu, 2 farasi wao ni nyama, wala si roho. 1 Wakati Bwana atakaponyoosha Mkono wake, 2 yeye anayesaidia atajikwaa, 2 naye anayesaidiwa ataanguka, 2 wote wawili wataangamia pamoja.

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

Now the Egyptians are men, and not God; and their horses flesh, and not spirit. When the LORD shall stretch out his hand, both he that helpeth shall fall, and he that is holpen shall fall down, and they all shall fail together.

In Context

2Hata hivyo yeye pia ana hekima na anaweza kuleta maafa, 2 wala hayatangui maneno yake. 1 Yeye atainuka dhidi ya nyumba ya mwovu, 2 dhidi ya wale ambao huwasaidia watenda mabaya. 1

4Hili ndilo Bwana analoniambia: 1 “Kama vile simba angurumavyo, 2 simba mkubwa juu ya mawindo yake: 1 hata ingawa kundi lote la wachunga mifugo 2 huitwa pamoja dhidi yake, 1 hatiwi hofu na kelele zao 2 wala kusumbuliwa na ghasia zao; 1 ndivyo Bwana Mwenye Nguvu Zote atakavyoshuka 2 kufanya vita juu ya Mlima Sayuni 2 na juu ya vilele vyake. 1

Read all of Isaiah 31

Cross References

2 Chronicles 32:8Kwake uko mkono wa mwili tu, bali kwetu yuko Bwana Mungu wetu kutusaidia na kutupigania vita vyetu.” Nao watu wakatiwa moyo kutokana na maneno aliyowaambia Hezekia mfalme wa Yuda.

Psalms 33:17Farasi ni tumaini la bure kwa wokovu, 2 licha ya nguvu zake nyingi, hawezi kuokoa. 1

Isaiah 9:17Kwa hiyo Bwana hatawafurahia vijana, 2 wala hatawahurumia yatima na wajane, 1 kwa kuwa kila mmoja wao hamchi Mungu, nao ni waovu, 2 na kila kinywa kinanena upotovu. 1 Hata kwa haya yote, hasira yake haijageukia mbali, 2 mkono wake bado umeinuliwa juu. 1

Isaiah 20:6Katika siku ile watu wanaoishi katika pwani hii watasema, ‘Tazama lililowapata wale tuliowategemea, wale tuliowakimbilia kwa msaada na wokovu kutoka mikononi mwa mfalme wa Ashuru! Tutawezaje basi kupona?’ ”

Isaiah 30:7kuvipeleka Misri, 2 ambaye msaada wake haufai kabisa. 1 Kwa hiyo nimemwita “Rahabu Asiyefanya Chochote.” 1

Isaiah 36:9Utawezaje kumzuia hata afisa mmoja aliye mdogo kati ya maafisa wa bwana wangu, ijapo unategemea Misri kwa magari ya vita na wapanda farasi?

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Isaiah 31:3

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Isaiah 31:2Isaiah 31Isaiah 31:4 →