Isaya 32:15
mpaka Roho amwagwe juu yetu kutoka juu, 2 nalo jangwa kuwa shamba lenye rutuba, 2 na shamba lenye rutuba kuwa kama msitu. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
16Haki itakaa katika jangwa, 2 na uadilifu utakaa katika shamba lenye rutuba. 1
Cross References
Psalms 107:33Yeye aligeuza mito kuwa jangwa, 2 chemchemi za maji zitiririkazo kuwa ardhi yenye kiu, 1
Proverbs 1:23Kama mngekuwa mmeitikia karipio langu, 2 ningekuwa nimemimina roho yangu kwenu 2 na kuwafahamisha maneno yangu. 1
Isaiah 29:17Kwa muda mfupi sana, je, Lebanoni haitageuzwa kuwa shamba lenye rutuba, 2 na shamba lenye rutuba liwe kama msitu? 1
Isaiah 35:2litachanua maua, 2 litashangilia sana na kupaza sauti kwa furaha. 1 Litapewa utukufu wa Lebanoni, 2 fahari ya Karmeli na Sharoni; 1 wataona utukufu wa Bwana, 2 fahari ya Mungu wetu. 1
Isaiah 44:3Kwa maana nitamimina maji juu ya nchi yenye kiu, 2 na vijito vya maji juu ya ardhi iliyokauka; 1 nitamimina Roho wangu juu ya watoto wako, 2 nayo baraka yangu juu ya wazao wako. 1
Isaiah 54:1“Imba, ewe mwanamke tasa, 2 wewe ambaye kamwe hukuzaa mtoto; 1 paza sauti kwa kuimba, piga kelele kwa furaha, 2 wewe ambaye kamwe hukupata utungu; 1 kwa sababu watoto wa mwanamke aliyeachwa ukiwa ni wengi 2 kuliko wa mwanamke mwenye mume,” 4 asema Bwana. 1