Isaiah 32:19
Hata kama mvua ya mawe iangushe msitu 2 na mji ubomolewe kabisa, 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
When it shall hail, coming down on the forest; and the city shall be low in a low place.
In Context
Cross References
Exodus 9:18Kwa hiyo, kesho wakati kama huu nitaleta mvua mbaya sana ya mawe ambayo haijapata kunyesha katika nchi ya Misri, tangu siku ilipoumbwa mpaka leo.
Isaiah 10:33Tazama, Bwana, Bwana Mwenye Nguvu Zote, 2 atayakata matawi kwa nguvu kuu. 1 Miti mirefu sana itaangushwa, 2 ile mirefu itashushwa chini. 1
Isaiah 24:10Mji ulioharibiwa umekuwa ukiwa, 2 mlango wa kila nyumba umefungwa. 1
Isaiah 26:5Huwashusha wale wajikwezao, 2 huushusha chini mji wenye kiburi, 1 huushusha hadi ardhini 2 na kuutupa chini mavumbini. 1
Isaiah 28:2Tazama, Bwana anaye mmoja aliye na uwezo na nguvu. 2 Kama dhoruba ya mvua ya mawe na upepo uharibuo, 1 kama mvua inyeshayo kwa nguvu na mafuriko yashukayo, 2 atakiangusha chini kwa nguvu. 1
Isaiah 30:30Bwana atawasababisha watu waisikie sauti yake ya utukufu, 2 naye atawafanya wauone mkono wake ukishuka 1 pamoja na hasira yake kali na moto ulao, 2 kukiwa na tufani ya mvua, 2 ngurumo za radi na mvua ya mawe. 1