The Bible Software
bible.softwareIsaiahIsaiah 32 › Isaiah 32:18

Isaiah 32:18

Watu wangu wataishi katika makao ya mahali pa amani, 2 katika nyumba zilizo salama, 2 katika mahali pa kupumzika pasipo na usumbufu. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

And my people shall dwell in a peaceable habitation, and in sure dwellings, and in quiet resting places;

In Context

17Matunda ya haki yatakuwa amani, 2 matokeo ya haki yatakuwa utulivu 2 na matumaini milele. 1

19Hata kama mvua ya mawe iangushe msitu 2 na mji ubomolewe kabisa, 1

Read all of Isaiah 32

Cross References

Exodus 9:26Mahali pekee ambapo mvua ya mawe haikunyesha ni nchi ya Gosheni, ambako Waisraeli waliishi.

Proverbs 24:15Usivizie kama haramia afanyavyo ili kuyashambulia 2 makao ya mwenye haki, 2 wala usiyavamie makazi yake, 1

Isaiah 33:6Atakuwa msingi ulio imara kwa wakati wenu, 2 ghala za wokovu tele, hekima na maarifa; 2 kumcha Bwana ni ufunguo wa hazina hii. 1

Isaiah 35:9Huko hakutakuwepo na simba, 2 wala mnyama mkali hatapita njia hiyo, 2 wala hawatapatikana humo. 1 Ila waliokombolewa tu ndio watakaopita huko, 2

Jeremiah 23:5Bwana asema, “Siku zinakuja, 2 nitakapomwinulia Daudi Tawi lenye haki, 1 Mfalme atakayetawala kwa hekima, 2 na kutenda lililo haki na sawa katika nchi. 1

Jeremiah 33:16Katika siku hizo, Yuda ataokolewa 2 na Yerusalemu ataishi salama. 1 Hili ndilo jina atakaloitwa: 2 Bwana Haki Yetu.’

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Isaiah 32:18

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Isaiah 32:17Isaiah 32Isaiah 32:19 →