The Bible Software
bible.software › Isaya › Isaya 66 › Isaya 66:12

Isaya 66:12

Kwa kuwa hili ndilo asemalo Bwana: 1 “Nitamwongezea amani kama mto, 2 nao utajiri wa mataifa kama kijito kifurikacho; 1 utanyonya na kuchukuliwa mikononi mwake 2 na kubembelezwa magotini pake. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

For thus saith the LORD, Behold, I will extend peace to her like a river, and the glory of the Gentiles like a flowing stream: then shall ye suck, ye shall be borne upon her sides, and be dandled upon her knees.

In Context

11Kwa kuwa mtanyonya na kutosheka 2 katika faraja ya matiti yake; 1 mtakunywa sana, 2 na kuufurahia wingi wa mafuriko ya ustawi wake.”

13Kama mama anavyomfariji mtoto wake, 2 ndivyo nitakavyokufariji wewe, 2 nawe utafarijiwa huko Yerusalemu.” 1

Read all of Isaya 66

Cross References

Isaiah 9:7Kuongezeka kwa utawala wake na amani 2 hakutakuwa na mwisho. 1 Atatawala katika kiti cha enzi cha Daudi 2 na juu ya ufalme wake, 1 akiuthibitisha na kuutegemeza 2 kwa haki na kwa adili, 2 tangu wakati huo na hata milele. 1 Wivu wa Bwana Mwenye Nguvu Zote 2 utatimiza haya. 1 Hasira Ya Bwana Dhidi Ya Israeli 1

Isaiah 45:14Hili ndilo asemalo Bwana: 1 “Mazao ya Misri na bidhaa za Kushi, 2 nao wale Waseba warefu, 1 watakujia na kuwa wako, 2 watakujia wakijikokota nyuma yako, 2 watakujia wamefungwa minyororo. 1 Watasujudu mbele yako 2 wakikusihi na kusema, 1 ‘Hakika Mungu yu pamoja nawe, 2 wala hakuna mwingine; 2 hakuna Mungu mwingine.’ ” 1

Isaiah 49:19“Ingawa uliangamizwa na kufanywa ukiwa, 2 na nchi yako ikaharibiwa, 1 sasa nafasi itakuwa finyu kwa ajili ya watu wako, 2 nao wale waliokuangamiza watakuwa mbali sana. 1

Isaiah 60:4“Inua macho yako na utazame pande zote: 2 Wote wanakusanyika na kukujia, 1 wana wako wanakuja toka mbali, 2 nao binti zako wanabebwa mikononi. 1

Isaiah 60:9Hakika visiwa vinanitazama, 2 merikebu za Tarshishi + 60:9 Au: za biashara (ona pia 1Fal 10:22; 22:48; 2Nya 9:21; 20:36; Isa 2:16 ). ndizo zinazotangulia, 1 zikiwaleta wana wenu kutoka mbali, 2 wakiwa na fedha na dhahabu zao, 1 kwa heshima ya Bwana, Mungu wenu, 2 yeye Aliye Mtakatifu wa Israeli, 2 kwa maana amekujalia utukufu. 1

Isaiah 61:6Nanyi mtaitwa makuhani wa Bwana, 2 mtaitwa watumishi wa Mungu wetu. 1 Mtakula utajiri wa mataifa, 2 nanyi katika utajiri wao mtajisifu. 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Isaya 66:12

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Isaya 66:11Isaya 66Isaya 66:13 →