Isaya 34:17
Huwagawia sehemu zao, 2 mkono wake huwagawanyia kwa kipimo. 1 Wataimiliki hata milele 2 na kuishi humo kutoka kizazi hadi kizazi.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Deuteronomy 32:9Kwa kuwa fungu la Bwana ni watu wake, 2 Yakobo kura yake ya urithi. 1
Psalms 78:55Aliyafukuza mataifa mbele yao, 2 na kuwagawia nchi zao kama urithi, 2 aliwakalisha makabila ya Israeli katika makao yao. 1
Isaiah 17:14Wakati wa jioni, hofu ya ghafula! 2 Kabla ya asubuhi, wametoweka! 1 Hili ndilo fungu la wale wanaotupora, 2 fungu la wale wanaotunyangʼanya mali zetu.
Jeremiah 13:25Hii ndiyo kura yako, 2 fungu nililokuamuria,” 4 asema Bwana, 1 “kwa sababu umenisahau mimi 2 na kuamini miungu ya uongo. 1
Acts 17:26Kutoka kwa mtu mmoja, yeye aliumba mataifa yote ya wanadamu ili waikalie dunia yote, naye akaweka nyakati za kuishi.