Isaiah 37:3
Wakamwambia, “Hili ndilo asemalo Hezekia: Siku hii ni siku ya dhiki, ya kukaripiwa na ya aibu, kama wakati watoto wanapofikia karibu kuzaliwa na kumbe hakuna nguvu ya kuwazaa.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
2 Kings 19:3Wakamwambia, “Hili ndilo asemalo Hezekia: Siku hii ni siku ya dhiki, ya kukaripiwa na ya aibu, kama wakati watoto wanapofikia karibu kuzaliwa na kumbe hakuna nguvu ya kuwazaa.
Psalms 50:15na uniite siku ya taabu; 2 nami nitakuokoa, nawe utanitukuza.”
Psalms 95:8msiifanye mioyo yenu migumu 2 kama mlivyofanya kule Meriba, + 95:8 Meriba maana yake ni Kugombana. 1 kama mlivyofanya siku ile 2 kule Masa + 95:8 Masa maana yake ni Kujaribiwa. jangwani, 1
Isaiah 22:5Bwana, Bwana Mwenye Nguvu Zote, anayo siku 2 ya ghasia, ya kukanyaga, na ya kuogofya 2 katika Bonde la Maono, 1 siku ya kuangusha kuta 2 na ya kupiga kelele mpaka milimani. 1
Isaiah 26:17Kama mwanamke mwenye mimba aliyekaribia kuzaa 2 anavyogaagaa na kulia kwa ajili ya maumivu yake, 2 ndivyo tulivyokuwa mbele zako, Ee Bwana. 1
Isaiah 33:2Ee Bwana, uturehemu, 2 tunakutamani. 1 Uwe nguvu yetu kila asubuhi 2 na wokovu wetu wakati wa taabu. 1