Isaiah 4:1
Katika siku ile wanawake saba 2 watamshika mwanaume mmoja 1 wakisema, “Tutakula chakula chetu wenyewe 2 na kuvaa nguo zetu wenyewe, 1 ila wewe uturuhusu tu tuitwe kwa jina lako. 2 Utuondolee aibu yetu!” 1 Tawi La Bwana
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Genesis 30:23Akapata mimba na akamzaa mwana na kusema, “Mungu ameniondolea aibu yangu.”
2 Samuel 6:23Naye Mikali binti Sauli hakuwa na watoto mpaka siku ya kufa kwake.
Isaiah 2:17Majivuno ya mwanadamu yatashushwa, 2 na kiburi cha wanadamu kitanyenyekezwa, 1 Bwana peke yake ndiye atatukuzwa siku hiyo, 2
Isaiah 10:20Katika siku ile, mabaki ya Israeli, 2 walionusurika wa nyumba ya Yakobo, 1 hawatamtegemea tena yeye aliyewapiga, 2 lakini watamtegemea kwa kweli 2 Bwana Aliye Mtakatifu wa Israeli. 1
Isaiah 17:7Katika siku ile watu watamwangalia Muumba wao, 2 na kuelekeza macho yao kwa yule Aliye Mtakatifu wa Israeli. 1
Luke 1:25Akasema, “Hili ndilo Bwana alilonitendea aliponiangalia kwa upendeleo na kuniondolea aibu yangu mbele ya watu.” 1 Kuzaliwa Kwa Yesu Kwatabiriwa