Isaiah 4:2
Katika siku ile Tawi la Bwana litakuwa zuri na lenye utukufu, nalo tunda la nchi litakuwa fahari na utukufu wa wale Waisraeli watakaonusurika.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Psalms 67:6Ndipo nchi itatoa mazao yake, 2 naye Mungu, Mungu wetu, atatubariki. 1
Psalms 85:11Uaminifu huchipua kutoka nchi, 2 haki hutazama chini kutoka mbinguni. 1
Isaiah 11:1Chipukizi litatokea kutoka shina la Yese, 2 kutoka mizizi yake Tawi litazaa tunda. 1
Isaiah 27:6Katika siku zijazo, Yakobo atatia mizizi, 2 Israeli atatoa chipukizi na kuchanua maua, 2 naye atajaza ulimwengu wote kwa matunda. 1
Isaiah 30:23Pia atawapa mvua kwa ajili ya mbegu mnazootesha ardhini, chakula kinachotoka ardhini kitakuwa kizuri sana, tena tele. Katika siku ile, ngʼombe wenu watalisha katika shamba pana la majani.
Isaiah 45:8“Enyi mbingu juu, nyesheni haki, 2 mawingu na yaidondoshe. 1 Dunia na ifunguke sana, 2 wokovu na uchipuke, 1 haki na ikue pamoja nao. 2 Mimi, Bwana, ndiye niliyeiumba. 1