Zekaria 14:2
Nitayakusanya mataifa yote huko Yerusalemu kupigana dhidi yake, mji utatekwa, nyumba zitavamiwa na kuporwa na wanawake watanajisiwa. Nusu ya mji watakwenda uhamishoni, lakini watakaobaki hawataondolewa kutoka mjini.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
1Siku ya Bwana inakuja ambayo nyara zilizotekwa kwenu zitagawanywa miongoni mwenu.
3Kisha Bwana atatoka na kupigana dhidi ya watu wa yale mataifa, kama apiganavyo siku ya vita.
Cross References
Isaiah 4:3Wale watakaoachwa Sayuni, watakaobaki Yerusalemu, wataitwa watakatifu, wale wote ambao wameorodheshwa miongoni mwa walio hai huko Yerusalemu.
Isaiah 13:16Watoto wao wachanga watavunjwa vipande vipande 2 mbele ya macho yao; 1 nyumba zao zitatekwa 2 na wake zao watatendwa jeuri. 1
Isaiah 65:18Lakini furahini na kushangilia daima 2 katika hivi nitakavyoumba, 1 kwa kuwa nitaumba Yerusalemu uwe wa kupendeza, 2 nao watu wake wawe furaha. 1
Lamentations 1:10Adui ametia mikono 2 juu ya hazina zake zote, 1 aliona mataifa ya kipagani 2 wakiingia mahali patakatifu pake, 1 wale uliowakataza kuingia 2 kwenye kusanyiko lako. 1
Daniel 2:40Hatimaye, kutakuwako na ufalme wa nne, wenye nguvu kama chuma, kwa maana chuma huvunja na kupondaponda kila kitu; kama vile chuma ivunjavyo vitu vipande vipande, ndivyo ufalme huo utakavyopondaponda na kuvunjavunja nyingine zote.
Amos 7:17“Kwa hiyo hili ndilo asemalo Bwana: 1 “ ‘Mke wako atakuwa kahaba mjini, 2 nao wana wako na binti zako watauawa kwa upanga. 1 Shamba lako litapimwa na kugawanywa, 2 na wewe mwenyewe utafia katika nchi ya kipagani. 1 Nayo Israeli kwa hakika itakwenda uhamishoni, 2 mbali na nchi yao.’ ”