Ayubu 36:22
“Mungu ametukuzwa katika nguvu zake. 2 Ni nani aliye mwalimu kama yeye? 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Behold, God exalteth by his power: who teacheth like him?
In Context
21Jihadhari usigeukie uovu, 2 ambao unaupenda zaidi kuliko mateso. 1
23Ni nani aliyemwelekeza katika njia zake, 2 au kumwambia, ‘Wewe umetenda yasiyo sawa’? 1
Cross References
Job 33:12“Lakini mimi ninakuambia, katika jambo hili wewe una makosa, 2 kwa maana Mungu ni mkuu kuliko mwanadamu. 1
Psalms 25:5niongoze katika kweli yako na kunifundisha, 2 kwa maana wewe ni Mungu Mwokozi wangu, 2 nalo tumaini langu liko kwako wakati wote. 1
Psalms 94:10Je, anayeadhibisha mataifa asiadhibu? 2 Je, awafundishaye wanadamu asiwe na maarifa? 1
Psalms 119:102Sijaziacha sheria zako, 2 kwa kuwa umenifundisha wewe mwenyewe. 1
Isaiah 48:17Hili ndilo asemalo Bwana, 2 Mkombozi wako, yeye Aliye Mtakatifu wa Israeli: 1 “Mimi ni Bwana, Mungu wako, 2 nikufundishaye ili upate faida, 2 nikuongozaye katika njia ikupasayo kuiendea. 1
Jeremiah 27:5Kwa uwezo wangu mkuu na kwa mkono wangu ulionyooshwa nimeumba dunia na watu wake na wanyama walioko ndani yake, nami humpa yeyote inipendezavyo.