Isaiah 40:6
Sauti husema, “Piga kelele.” 2 Nami nikasema, “Nipige kelele gani?” 1 “Wanadamu wote ni kama majani, 2 nao utukufu wao wote 2 ni kama maua ya kondeni. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Psalms 90:5Unawatowesha wanadamu katika usingizi wa kifo, 2 nao ni kama majani machanga ya asubuhi: 1
Psalms 92:7ingawa waovu huchipua kama majani 2 na wote watendao mabaya wanastawi, 2 wataangamizwa milele. 1
Psalms 103:15Kuhusu mwanadamu, siku zake ni kama majani, 2 anachanua kama ua la shambani; 1
Isaiah 12:6Pazeni sauti mwimbe kwa furaha, watu wa Sayuni, 2 kwa maana mkuu ni yeye Aliye Mtakatifu wa Israeli miongoni mwenu.”
Isaiah 40:3Sauti ya mtu aliaye: 2 “Itengenezeni jangwani njia ya Bwana, 1 nyoosheni njia kuu nyikani 2 kwa ajili ya Mungu wetu. 1
Isaiah 58:1“Piga kelele, usizuie. 2 Paza sauti yako kama tarumbeta. 1 Watangazieni watu wangu uasi wao, 2 na kwa nyumba ya Yakobo dhambi zao. 1